Pambano Kuu Kugawana (Swahili)

    $8.49
    In stock
    ISBN
    9798400300127

    "Pambano Kuu" haliweki bayana chanzo cha uharibifu wa mwanadamu tu, bali pia hufunua mapambano mazito mno yanayosababisha magonjwa
    tandavu na hatari, uharibifu na mauaji ya halaiki, vifo na ghasia. Katika kitabu hiki cha kustaajabisha utagundua kwamba uovu una mwonekano, wema una shujaa wake, na dhambi ina mwisho. Kama unataka kufanya maandalizi kwa ajili ya mwisho wa dunia hii na kwa ulimwengu wa utukufu unaokuja, inakupasa kusoma kitabu hiki.

     

    Je unadhani dunia inaimarika au inaharibika zaidi?

    Si ajabu, idadi kubwa mno ya watu leo wanaamini kuwa dunia inazidi kuharibika. Huenda hii hali ya kukata tamaa kote ulimwenguni ni matokeo ya utamaduni uliosheheni mno habari mbaya, au bila shaka kwa asili tunajua ukweli wa kuogofya mno uliomo katika kiini cha kitabu hiki: Kuna kitu hakiko sawa kabisa katika sayari yetu na sisi hatuna uwezo wa kukitatua.

    "Pambano Kuu" haliweki bayana chanzo cha uharibifu wa mwanadamu tu, bali pia hufunua mapambano mazito mno yanayosababisha magonjwa tandavu na hatari, uharibifu na mauaji ya halaiki, vifo na ghasia. Katika kitabu hiki cha kustaajabisha utagundua kwamba uovu una mwonekano, wema una shujaa wake, na dhambi ina mwisho. Kama unataka kufanya maandalizi kwa ajili ya mwisho wa dunia hii na kwa ulimwengu wa utukufu unaokuja, inakupasa kusoma kitabu hiki.


    THE GREAT CONTROVERSY (SHARING) ITALIAN

    Do you think the world is getting better or worse?

    Unsurprisingly, a huge majority of people today believe the world is getting worse. Maybe this global pessimism is the result of a culture bathed in bad news, or maybe we inherently know the earthshaking truth presented at the heart of this book: Something is deeply wrong with our planet, and we are powerless to fix it.

    The Great Controversy not only unveils the origin of human degradation but also discloses the titanic struggle raging below the din of pandemics and peril, corruption and carnage, murder and mayhem. In this astonishing work, you will discover that evil has a face, good has a Champion, and sin has an end. If you want to prepare for the end of this world and the glorious world to come, you must read this book.

    More Information
    Item Format Paperback
    Author Name Ellen G. White
    Publisher Review and Herald Publishing
    Weight (lbs) 1.440000
    Page Count 552
    Language Other
    Year Published 2023
    Write Your Own Review
    You're reviewing:Pambano Kuu Kugawana (Swahili)
    Your Rating
    Scroll To Top
    All information and content on this web site is copyrighted by Pacific Press Publishing Association, Inc. ("Pacific Press®"), the owner of this web site.